myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
P👍👍👍
Kwenye maisha kuna makosa ambayo ukiyafanya unaweza kujutia, ukajirekebisha na kuendelea na maisha. Kuna makosa mengine ukisha yafanya utajutia, utajirekebisha ila madhara yake huwezi kuyabadili kamwe na maisha hayatokuwa kama yalivyokuwa mwanzo. Kuwa makini sana