Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kama uko na nafasi ya kununua nguo nzuri nunua, kula vizuri kula, kupanga nyumba nzuri panga, kutoka na mama toka, maisha ni mchezo wa kuviziana nafasi nazo ni chache nyingi ni majukumu. Usipitwe na nafasi zako