Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kabisa mtaniTunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu kinaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa
HakikaKuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine."
Sounds goodYour dreams are valid, your potential is limitless, and your time is now. Stay focused, work hard, and never stop believing in yourself