Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Jitahidi sanaa kwenye Maisha yako ziwepo kurasa ambazo familia ako watazisoma kwa furaha Tena kwa sauti kubwa ila wabaya wataishia kutamani kuzichana zisionekane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mc Hammer 1995You can't touch this
Kuigiza sura ya furaha wakati moyo una maumivu ni njia nzuri sana ya kupambana na Kinachokuumiza
👍👍Utawachukiza na utapoteza marafiki wengi pindi unapoanza kuwa focus na malengo ya maisha yako
✅️✅️Usitarajie kupokea kile unachotoa si kila mtu ana moyo mwema.
👍👍Usitarajie kupokea kile unachotoa si kila mtu ana moyo mwema.
✔️✔️Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe
Maisha ni mbio za ubunifu za kusisimua, zenye starehe nyingi. Sio tu kwamba washiriki wanashauri wasikose nafasi yao ya kipekee, lakini sauti ya ndani pia. Na kinachohitajika kwa hili ni kujiamini.
Maisha ni mbio za ubunifu za kusisimua, zenye starehe nyingi. Sio tu kwamba washiriki wanashauri wasikose nafasi yao ya kipekee, lakini sauti ya ndani pia. Na kinachohitajika kwa hili ni kujiamini.