Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jitahidi sanaa kwenye Maisha yako ziwepo kurasa ambazo familia ako watazisoma kwa furaha Tena kwa sauti kubwa ila wabaya wataishia kutamani kuzichana zisionekane
 
Kuigiza sura ya furaha wakati moyo una maumivu ni njia nzuri sana ya kupambana na Kinachokuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…