myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Your dreams are valid, your potential is limitless, and your time is now. Stay focused, work hard, and never stop believing in yourself
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Your dreams are valid, your potential is limitless, and your time is now. Stay focused, work hard, and never stop believing in yourself
📌📌📌Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
Your dreams are valid, your potential is limitless, and your time is now. Stay focused, work hard, and never stop believing in yourself
📌📌Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
✔️✔️Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
👍👍Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"

Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"

📌📌Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia
Tunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu kinaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa
Ni katika nyakati za shida pekee ambapo mtu anapata nafasi ya kufikiria kwa ubunifu, kutatua matatizo, na kuonyesha ubora wake wa akili au kipaji.
Ugumu wa maisha sio kikwazo tu, bali ni fursa ya kuamsha na kuimarisha uwezo uliofichika ndani ya mtu

Kama uko na nafasi ya kununua nguo nzuri nunua, kula vizuri kula, kupanga nyumba nzuri panga, kutoka na mama toka, maisha ni mchezo wa kuviziana nafasi nazo ni chache nyingi ni majukumu. Usipitwe na nafasi zako
✅️✅️Kuna Ile :
1)Kujua na unajua kuwa unajua.
2)Kujua na haujui kuwa unajua.
3)Kutokujua na unajua kuwa haujui.
4)Kutokujua na haujui kuwa haujui.
5)Kutokujua na anajua kuwa anajua
Ishi nao Kwa akili
Kuna Ile :
1)Kujua na unajua kuwa unajua.
2)Kujua na haujui kuwa unajua.
3)Kutokujua na unajua kuwa haujui.
4)Kutokujua na haujui kuwa haujui.
5)Kutokujua na anajua kuwa anajua
Ishi nao Kwa akili