Sio kila mlango kwenye maisha lazima ufunguke kwa wakati utakao wewe, kuna wakati unatakiwa usubirie aliefunga afunguwe,
Usiwe unalalamikia kila tatizo linalokupata mengine nikwa faida yako, usilazimishe kuluka hatua za kuiva pita kwenye moto kwa ujasiri mwingi maana hata katika huo moto Mungu yupo pamoja nawe hata kuacha.