Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kula nyumbani kuna faida nyingi ikiwemo kuzingatia ubora wa chakula. Kama una maisha ya kula kitaa mara nyingi chagua sehemu za kuamini sio kila sehemu tu.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.