antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
👍Tafuta maisha lakini usisahau kuishi maana haujui kitakachotokea katika dakika inayofuata, siku kadhaa, miezi, au miaka, kwa hiyo ishi maisha kikamilifu, Kuwa na shukrani kwa baraka zilizo karibu yako, acha kupoteza muda kwa mambo usiyoweza kudhibiti
SawasawaKuna Ile :
1)Kujua na unajua kuwa unajua.
2)Kujua na haujui kuwa unajua.
3)Kutokujua na unajua kuwa haujui.
4)Kutokujua na haujui kuwa haujui.
5)Kutokujua na anajua kuwa anajua
Ishi nao Kwa akili
Kweli,Kama uko na nafasi ya kununua nguo nzuri nunua, kula vizuri kula, kupanga nyumba nzuri panga, kutoka na mama toka, maisha ni mchezo wa kuviziana nafasi nazo ni chache nyingi ni majukumu. Usipitwe na nafasi zako