Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hekima ni kama mti wa mbuyu, sio kila mtu anaeweza kuzifuata.”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaNi katika nyakati za shida pekee ambapo mtu anapata nafasi ya kufikiria kwa ubunifu, kutatua matatizo, na kuonyesha ubora wake wa akili au kipaji.
Ugumu wa maisha sio kikwazo tu, bali ni fursa ya kuamsha na kuimarisha uwezo uliofichika ndani ya mtu
FactKuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine."
HahahaHawakutujua kiundani wala hawakuhitaji chochote kutoka kwetu lakini waliposikia changamoto zetu hawakujiuliza mara mbili bali walivutwa kutusaidia.Amini nakuambia watu wema hawana kipengele labda kipengele uwe nacho wewe.
Acha keleleAnachokiona kijana juu ya mti, mzee anakiona akiwa chini.”
Acha kelele
Acha kelele
Acha kelele
Mbona ukiandika post yako inajirudia mara nyingiJifunze sana kujali na kulinda tabia yako kuliko sifa yako, kwa sababu tabia yako ndivyo ulivyo, wakati sifa yako ni vile wengine wanavyofikiri kuhusu wewe.”