myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Kwenye safari ya maisha yako tambua kuwa utakutana na watu ambao wao ni kama mawingu, wakiondoka tu kwenye maisha yako basi dunia inang'aa.”
📌📌Kwenye safari ya maisha yako tambua kuwa utakutana na watu ambao wao ni kama mawingu, wakiondoka tu kwenye maisha yako basi dunia inang'aa.”
AiseeKwenye maisha ni ngumu sana kumrudisha nyuma mtu ambaye kwake kukata tamaa ni mwiko.”
Kila mtuRiziki mafungu kila mtu ana lake.”