myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️Dunia hii imejaa mambo mengi yanayotokea, lakini tujifunze kuishi na watu vizuri, lakini pia tusimsahau Mungu katika kia hatua.”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔️✔️✔️Dunia hii imejaa mambo mengi yanayotokea, lakini tujifunze kuishi na watu vizuri, lakini pia tusimsahau Mungu katika kia hatua.”
NAKUBALIRiziki mafungu kila mtu ana lake.”
Katika harakati za kutafuta maisha ni bora ufanye ukosee, sio kwa kutokufanya kwa kuogopa utakosea.”
AiseeUkipata nafasi ya kumuomba Mungu muombe vitu hivi; Afya njema, nafasi ya kuiona siku mpya, nafasi ya kupenda au kupendwa na nafasi ya kuwa na amani ya moyo.”
✔️✔️✔️Tujifunze namna ya kushirikiana na kupendana ili tuache urithi mzuri kwa vizazi vyetu.”
📌📌📌Kuna ambao wameandaliwa maisha bora na wazazi wao na kuna sisi ambao tunaandaa maisha bora ya wazazi wetu na familia zetu, ni muhimu kuelewa kuwa hatufanani, muhimu kuheshimiana tu.”
SawaKatika harakati za kutafuta maisha ni bora ufanye ukosee, sio kwa kutokufanya kwa kuogopa utakosea.”
👍👍👍Kuna ambao wameandaliwa maisha bora na wazazi wao na kuna sisi ambao tunaandaa maisha bora ya wazazi wetu na familia zetu, ni muhimu kuelewa kuwa hatufanani, muhimu kuheshimiana tu.”