myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaNyota ya kila mmoja inang'aa kwa wakati wake, na kuzima nyota ya mwingine ni kujipoteza wewe mwenyewe.”
✔️✔️✔️Kuwa mkweli kwa matendo yako, na kamwe usiwe mnafiki. Ukweli ni mwanga unaoongoza kwenye amani ya moyo.”
📌📌📌Kuwa mkweli kwa matendo yako, na kamwe usiwe mnafiki. Ukweli ni mwanga unaoongoza kwenye amani ya moyo.”
👍👍👍Nyota ya kila mmoja inang'aa kwa wakati wake, na kuzima nyota ya mwingine ni kujipoteza wewe mwenyewe.”
✅️✅️✅️Usimdharau yeyote, maana hatujui kesho yao itakuwaje. Katika safari ya maisha, watu unaowapuuza leo wanaweza kuwa msaada wako wa kesho. Dumisha heshima kwa kila mmoja, maana ulimwengu hujaa maajabu yanayofichwa kwa sura zisizotazamiwa.”
Usimdharau yeyote, maana hatujui kesho yao itakuwaje. Katika safari ya maisha, watu unaowapuuza leo wanaweza kuwa msaada wako wa kesho. Dumisha heshima kwa kila mmoja, maana ulimwengu hujaa maajabu yanayofichwa kwa sura zisizotazamiwa.”
Usimdharau yeyote, maana hatujui kesho yao itakuwaje. Katika safari ya maisha, watu unaowapuuza leo wanaweza kuwa msaada wako wa kesho. Dumisha heshima kwa kila mmoja, maana ulimwengu hujaa maajabu yanayofichwa kwa sura zisizotazamiwa.”
Kweli kabisaHuwezi kujua mwenzako anapitia nini, na mtu mwingine hawezi kuona maumivu uliyonayo. Kwenye maisha wakati mwingine usilaumu watu tu kuwa hawakusaidii hujui wanayoyapitia.”
Hili NajifunzaJifunze Kusema Samahani hata unapoona hujakosea, kukubali makosa na kuomba msamaha ni ishara ya unyenyekevu na heshima.”
Kweli kabisa hiliKila Kovu kwenye maisha linahitaji gharama kuliondoa.”
✔️✔️✔️Jifunze Kusema Samahani hata unapoona hujakosea, kukubali makosa na kuomba msamaha ni ishara ya unyenyekevu na heshima.”
SawaDunia ni siku TATU: “Jana” Tumeishi na wala haitorudi. Na “Leo” tunaishi lakini haitodumu. Na “Kesho” hatujui tutakua wapi. Basi peaneni mikono na Usamehe na kua mtiifu na mwema kwa Muumba wako. Kwani mimi na wewe, Na wao na sisi ni marehemu Watarajiwa!.”
Jifunze Kusema Samahani hata unapoona hujakosea, kukubali makosa na kuomba msamaha ni ishara ya unyenyekevu na heshima.”