Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kila unaposhukuru kwa chochote unafungua mlango wa baraka nyingi zaidi ili baraka zinapo ongezeka kwako ukawe baraka kwa wengine nao wapate fursa ya kushukuru. Kushukuru hufungua mlango wa kuendeleza shukrani