myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅ ✅Vitu vitatu vitakavyo kusaidia sana kuboresha afya yako ya mwili na akili na kukuwezesha kuishi muda mrefu 1. Uwezo wa kusubiri "patience", 2. Uwezo wa ustahimilivu "resiliency" na 3. Uwezo wa kuwa mwelewa "understanding"
✔️ ✔️Kila unaposhukuru kwa chochote unafungua mlango wa baraka nyingi zaidi ili baraka zinapo ongezeka kwako ukawe baraka kwa wengine nao wapate fursa ya kushukuru. Kushukuru hufungua mlango wa kuendeleza shukrani
✅✅Usizitazame changamoto kama mwisho wa safari, bali kama daraja la kukuvusha kuelekea kwenye mafanikio.”
✔️ ✔️Tujifunze kusamehe wale wote waliotukosea. Tuvumiliane kisha tupendane. Kusamehe hakubadilishi dhamira.”