myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
NAKUBALIANA NA HILIWatu Wenye Nguvu Zaidi Ni Wale Ambao Wamepitiaa Mabaya.Maumivu Hujenga Ustahimilifu,itumie kukuwa Sio kukaaa Na Machungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKUBALIANA NA HILIWatu Wenye Nguvu Zaidi Ni Wale Ambao Wamepitiaa Mabaya.Maumivu Hujenga Ustahimilifu,itumie kukuwa Sio kukaaa Na Machungu
💯Maendeleo huja Kwa kurahisisha Magumu lakini kabla ya maendeleo tuliutafuta wepesi kutoka kwenye ugumu,.."Usiache mbachao kwa msala upitao"
👍👍Maendeleo huja Kwa kurahisisha Magumu lakini kabla ya maendeleo tuliutafuta wepesi kutoka kwenye ugumu,.."Usiache mbachao kwa msala upitao"
✅️✅️✅️Hakuna kujuta kwa uliyopatia Yale ni masomo tu ya maisha
✔️✔️✔️Hakuna kujuta kwa uliyopatia Yale ni masomo tu ya maisha
Dhamana ya uaminifu ukipata mahali popote jitahidi kuitunza ni gharama kubwa katika Kuirudisha haliyakua ulipoteza Kwa makusudio
Dhamana ya uaminifu ukipata mahali popote jitahidi kuitunza ni gharama kubwa katika Kuirudisha haliyakua ulipoteza Kwa makusudio
Usimlazimishe mtu apokee msamaha wako, kwasababu huwezi kujua ni kwa namna gani ulivyo mjeruhi, msamaha wa kweli hutoka moyoni na sio kinywani

Usifurahie anguko la mwenzako, huwezi jua kile kinachokuja mbele. Hatakama unajiona umejikita vizuri, hatua inayofuata inaweza kua na shimo, nawe pia unaweza kujikuta unatumbukia.
SawaAnae pambana ku vaa viatu vyako kipindi umepata changamoto, usimuoneshe dharau kipindi umejipata."
✅️✅️Anae pambana ku vaa viatu vyako kipindi umepata changamoto, usimuoneshe dharau kipindi umejipata."
✔️✔️✔️Usifurahie anguko la mwenzako, huwezi jua kile kinachokuja mbele. Hatakama unajiona umejikita vizuri, hatua inayofuata inaweza kua na shimo, nawe pia unaweza kujikuta unatumbukia.
📌📌Anae pambana ku vaa viatu vyako kipindi umepata changamoto, usimuoneshe dharau kipindi umejipata."
✅️✅️✅️Kunawakati tunapitia changamoto, kilasiku matatizo yanaongezeka ila tusikate tamaa kwakua badotunaafya njema ni nafasi nzuri ya kuzidi kupambana na kuweza kuzishinda changamoto
✔️✔️Uaminifu ni zawadi ghari sana usitarajie kuipata kwa kila mmoja
👍👍👍Ukipata Shukuru kwani ndio Kiasi chako lakini ukikosa Shukuru zaidi maana hujui unae'epushwa na nini!,