myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππKunawakati tunapitia changamoto, kilasiku matatizo yanaongezeka ila tusikate tamaa kwakua badotunaafya njema ni nafasi nzuri ya kuzidi kupambana na kuweza kuzishinda changamoto
SawaKadri unavokutana na watu wengi zaidi ndio unagundua kwanini Nuhu alibeba wanyama na wadudu tu katika safina yake
AiseeUsiwe mkweli kwa kila kitu ukapitiliza zama zimebadilika watu wanaamini uongo
Inawezekana hiliUsiwe mkweli kwa kila kitu ukapitiliza zama zimebadilika watu wanaamini uongo
β οΈβ οΈβ οΈUsiache kusali usiache kusali na usiache kufanya mazoezi na Usiache kutafuta na usidharau kazi wala nafasi ya mtu Mungu anakuona mahangaiko yako na juhudi zako ipo siku tu.
Sahihi kabisaNi rahisi sana ku mdhalilisha mtu lakini ni ngumu sana, kujirudi na kurekebisha kumbukumbu mbaya ulizozijenga akilini mwa watu.
Uko SawasawaFimbo ya mbali hai ui nyoka lakini ina weza kuubadili muelekeo wa nyoka.
SawasawaNi rahisi sana ku mdhalilisha mtu lakini ni ngumu sana, kujirudi na kurekebisha kumbukumbu mbaya ulizozijenga akilini mwa watu.