myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Maisha ni safari yenye vituo vingi, na huleta maana tukiyaishi na kuyahisi katika nyakati za furaha na huzuni.
Huwezi kuthamin upande mwingine wa maisha kama utaishia upande mmoja.
Hatupo kwa ajili ya kushikilia hisia mbaya Kwa muda mrefu bali kuzihisi na kuziacha ziende zake.
Ukiunganisha masikio yako mawili unapata shape ya Moyo.
Jina Ear (sikio kwa kiingereza) ni maneno yaliyo katikati ya neno Heart (moyo).
Nakupa Siri, Sikio ni njia ya kwenda kwenye moyo, hivyo kama unataka Kupata moyo wa mtu jifunze kumsikiliza zaidi.
ππUkiunganisha masikio yako mawili unapata shape ya Moyo.
Jina Ear (sikio kwa kiingereza) ni maneno yaliyo katikati ya neno Heart (moyo).
Nakupa Siri, Sikio ni njia ya kwenda kwenye moyo, hivyo kama unataka Kupata moyo wa mtu jifunze kumsikiliza zaidi.
AiseeKuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine.
MATUMAINI KWA WENGINEKuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine.
Njia rahisi za kuishi maisha yako
1. Acha kulaumu wengine kwa maisha yako
2.Acha kumfurahisha kila mtu.
3. Jifunze kuridhika na vile vitu vidogo ulivyonavyo
4. Sherehekea mafanikio yako mara nyingi zaidi
5. Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia

πππUSIKU WA DAKU

NAKUBALIUkiunganisha masikio yako mawili unapata shape ya Moyo.
Jina Ear (sikio kwa kiingereza) ni maneno yaliyo katikati ya neno Heart (moyo).
Nakupa Siri, Sikio ni njia ya kwenda kwenye moyo, hivyo kama unataka Kupata moyo wa mtu jifunze kumsikiliza zaidi.
Nazingatia hiliUsipoteze muda wako kujaribu kuwarudisha watu walioondoka maishani mwako.
Zingatia watu waliopo na wanaokujali tu.
Nazingatia hiliHuwezi kuwadhibiti wengine, lakini unaweza kujidhibiti mwenyewe
Zingatia mawazo, hisia, na matendo yako
πππHuwezi kuwadhibiti wengine, lakini unaweza kujidhibiti mwenyewe
Zingatia mawazo, hisia, na matendo yako
πππJifunze kusamehe, lakini usisahau.
Msamaha ni muhimu kwa amani yako ya akili, lakini usisahau makosa ya zamani
βοΈβοΈβοΈJifunze kusamehe, lakini usisahau.
Msamaha ni muhimu kwa amani yako ya akili, lakini usisahau makosa ya zamani
Sipotezi MUDA...Usipoteze muda wako kujaribu kuwarudisha watu walioondoka maishani mwako.
Zingatia watu waliopo na wanaokujali tu.
Nakubaliana na weweKila mtu ana sura mbili, moja anayoionesha ulimwengu, na nyingine anayoificha.
Usimhukumu mtu kwa sura yake ya nje, kwani huwezi kujua anachopitia ndani
β οΈβ οΈβ οΈUsijilinganishe na wengine, kila mtu ana safari yake.
Zingatia safari yako peke yako na ushindane na wewe mwenyewe
πππKila mtu ana sura mbili, moja anayoionesha ulimwengu, na nyingine anayoificha.
Usimhukumu mtu kwa sura yake ya nje, kwani huwezi kujua anachopitia ndani
πππUkiwa na hasira, hesabu hadi kumi kabla ya kuongea au kutenda.
Hii itakusaidia kuepuka kufanya maamuzi mabaya na ya hovyo