myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
UJUMBE HUU
Maisha ni safari yenye vituo vingi, na huleta maana tukiyaishi na kuyahisi katika nyakati za furaha na huzuni.
Huwezi kuthamin upande mwingine wa maisha kama utaishia upande mmoja.
Hatupo kwa ajili ya kushikilia hisia mbaya Kwa muda mrefu bali kuzihisi na kuziacha ziende zake.