Mafanikio ni kama kuvunja kokwa la mbuyu. Kwa mara ya kwanza inaweza kuwa gumu, lakini mara ya 2, 3... huvunjika, na ndani yake kuna malhamu tamu ya mafuta. Struggle yako inahitaji nguvu, akili na uvumilivu. Lakini mwisho wake, huleta mafanikio, na furaha. Usikate tamaa.