Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Maisha ni ya ajabu Sana kuna miongo na karne zitapita bila chochote kutokea na pia kuna mwezi utakuja ambapo mafanikio ya miongo na karne zote utayavuna ndani ya huo mwezi , muhimu ni uvumilivu tu