Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
IMAGE YAKOuna NAFASI kubwa ya kutengeneza PICHA nzuri sana ambayo unaweza kuiweka kwenye AKILI ZA WATU wengine kwa muda mrefu sana.
Tengeneza IMAGE YAKO hata kama WATAKUKATAA lakini ndani yao HAWAWEZI KUENDELEA kuikataa PICHA TASWIRA uliyoijenga kwenye FIKRA ZAO!
TASWIRA YAKOuna NAFASI kubwa ya kutengeneza PICHA nzuri sana ambayo unaweza kuiweka kwenye AKILI ZA WATU wengine kwa muda mrefu sana.
Tengeneza IMAGE YAKO hata kama WATAKUKATAA lakini ndani yao HAWAWEZI KUENDELEA kuikataa PICHA TASWIRA uliyoijenga kwenye FIKRA ZAO!
SAWAuna NAFASI kubwa ya kutengeneza PICHA nzuri sana ambayo unaweza kuiweka kwenye AKILI ZA WATU wengine kwa muda mrefu sana.
Tengeneza IMAGE YAKO hata kama WATAKUKATAA lakini ndani yao HAWAWEZI KUENDELEA kuikataa PICHA TASWIRA uliyoijenga kwenye FIKRA ZAO!
MAAMUZI SAHIHIKUNA WATU wengine inawabidi waondoke kwenye maisha yako kwanza ili wakusaidie uanze KUFANYA MAAMUZI SAHIHI na MAGUMU ambayo umekuwa unayaghairisha kwa sababu ya KUWAOGOPA ama KUWARIDHISHA wao.