Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
KUNA WATU wengine inawabidi waondoke kwenye maisha yako kwanza ili wakusaidie uanze KUFANYA MAAMUZI SAHIHI na MAGUMU ambayo umekuwa unayaghairisha kwa sababu ya KUWAOGOPA ama KUWARIDHISHA wao.