carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha??Hamna mkuu kipindi unaangaika kwa ISIS undugu ulikuwa mkubwa sana.
ho chi minh sema vizuri kuhusu huyu jamaa.
Kipindi nipo nq mtoto mzuri pia cole ulikuwa unanipa salam kila mda ila sasa
Mzee mwenzangu anajionea
Cole anajing'ata bhana[emoji23][emoji23][emoji23] muache apumzikeKabisa
Cole Williams sijui ndio mbinu alikuwa anatumia ili kuattack anipe jibu tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nimefumba macho wala sikuonei.Leo mnanionea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rudiiii[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huwa namkumbuka sana huyu jamaa
Kichwa kuja soma hapaNimeshampata niliekuwa namtaka kumpata yeye kwangu ni Zaidi ya Dreams come true.
HahahahaAu mpo kwa beach hamuez kuoga na smart phone[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu toka Cole Williams afanye yake
Siku hizi ananikimbia kimbia tu hata salam hamna
Najiulizq ndio mbinu alikuwa anatumia kunipokonya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zamani iliitwa baniani mbaya kiatu chake dawa.
Kitunze kidumu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa hiyo ulikuwa karibu yangu ili umpate sasa umempata ndio undugu na urafiki kwisha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
YangaAngurumapo Simba, mcheza ni nani?
Hapo kupishana vipi mkuu???Nice move
Wewe na mchina lenu moja mwacheni Cole wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole Williams angalia watu wanakuona si pekee tu nilikuwa nashangaa sana.
Mbona mpaka Dunia inajua kama nampenda carbamazepine [emoji173] [emoji178] [emoji178] [emoji179] [emoji173]Kichwa kichafu anakuona