Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula like kwanzaHajaamka
[emoji777] [emoji777] [emoji777] [emoji777]Naona kichwa kichafu kala ban!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kula like hiyo humu hata ukijamba tunalike tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa.Ukiona umepigwa na wewe piga
Nenda kwa page yangu uone likes nilizonazo, alafu nikipata likes ndio inakuaje? FoolishHuna lolote umefata likes tu ungepita tu kimy kimya
Usisahau kuanza kwa kulike uzi wa mleta mada mwanzo kabisaWakuu nami nimwagie LIKES za kumwaga hapa.
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kama hiviPata matunda ya like kwanza
Kuliko hata Makinikia ya bandariniHuu uzi hatari
Nimekurudishia LIKE yako Mkuu[emoji56] [emoji56] [emoji56]
Kula like hiyo
Angalia usije kuadmitiwa wodini ukakosa utamu wa likesJf kiboko!!!!!!!Nacheka mpaka mbavu zinauma😀😀
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]kweli aloanzisha uzi huu, ka si mtu wa tanga basi wa bagamoyo, maana anapenda vitu vizuri bila kuhangaika, sasa kupenda like za bure maana yake nini