mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tunda la shetani mhhhhAmekula tunda la shetani.
Kuachwa huachwi ila utakimbiwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimejizatiti,siachwi hata kwa bahati mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Harakati aje aje?Hahaa hàahaa..
Kweli we jamaa jau
Hahahahahaha
Fresh mzee baba habari ni ganHarakati aje aje?
Napenda wageni kweli karibu nyumbani shemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23]We fitina hazikuishi huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
IPO hiyo style kwenye mambo fulaniKifo cha mende miguu juu.
Ukija nyumbani nitakupikia hiyo mboga si utakula?Samaki nchanga kwa wale ndugu zetu[emoji23] [emoji23]
Nacheka kwa furaha
Mbona nimekusamehe hata kabla hujaniomba msamaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeacha Kichwa sisemi tena,samahani kama umekwazika dear
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Gari ya mizigo ila barabara yake inapita juu ya vitabu.
Vitabu vinaachwa hali mbaya[emoji23] [emoji23]
Ho chi wapi swali lako
Je,Nimekusamehe hata kabla hujaomba msamaha carbamazepine.
HahahahaNakuona mzee mwenyewe avatar kali sana hiyo.
Angalia watu wasipite nayo waiandika maneno ya wahenga
Naona unanichanga mambo ya mchina hayoUkija nyumbani nitakupikia hiyo mboga si utakula?
Nimeacha sisemi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]We unavyoleta hiyo skendo yako ya nyuki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli utaki??[emoji23][emoji23]Sitaki [emoji125] [emoji125]