carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha uchonganishi wewe mzee[emoji23] [emoji23]Je,
Unajitetea vipi kwa watazamaji kwa kuwa sasa unafahamika ni nyuki wa mashineni?
Onesha kwa vitendo kuwa yaliyozungumzwa juu yako yote si kweli?
Ukisamehe tu na kukaa kimya napata tabu kusafisha jina lako mkuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Toa likes upate likes..ndio sheria ya huu uziMi mbona hamnipi izo likes
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sasa nyie si ndugu?[emoji23][emoji23][emoji23]Naona unanichanga mambo ya mchina hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Je,
Unajitetea vipi kwa watazamaji kwa kuwa sasa unafahamika ni nyuki wa mashineni?
Onesha kwa vitendo kuwa yaliyozungumzwa juu yako yote si kweli?
Ukisamehe tu na kukaa kimya napata tabu kusafisha jina lako mkuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Me nakutaka wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] uje nyumbani kama mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]Mkaribishe andjul kwanini mimi
Naunga mkono hoja!
Niaje mama wa mieHahahaha
Na mimi naanza kukuombea sasa hivi usiachwe wala kukimbiwa tenaCarba sio maombi mazuri hayo,mbona Mimi nakuombea?