carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji124] [emoji124] [emoji124]ho chi minh atakuja.
Udhaifu huu utaniua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weweeeeeeeeeeeee
Kwenye vyakula vyake vya ajabu huwa namkimbia huyoSasa nyie si ndugu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Swali langu mkuu ni juu ya ukaribu wenye mashaka na post za AMUR RA,Ho chi wapi swali lako
Kula maisha mkuu. Wanasema eti ni mafupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo tupo seaview tuna kula upepo wa Indian ocean with my Queen ISIS the one and only
Chagua nianze kumshughulikia nani kati ya mchina na andjul
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Me nakutaka wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] uje nyumbani kama mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi nitakuandalia kile unachokipenda[emoji5] [emoji5]Kwenye vyakula vyake vya ajabu huwa namkimbia huyo
Amen.nsamaka nilimuita umeonana nae?Na mimi naanza kukuombea sasa hivi usiachwe wala kukimbiwa tena
Hahahahaha.Swali langu mkuu ni juu ya ukaribu wenye mashaka na post za AMUR RA,
JE kuna nia yoyote iliyojificha nyuma ya kabati?
Pia unaonekana umeanza kutembea kama mwenye post hizo,
Lakini mshangao uko kwenye umakini wako,
Unalike na ku replay kwa umakini wenye mashaka hivyo kuonesha kuna kitu zaidi ya like tu.
Waaminishe wananchi kuwa wewe ni raia mwema na muungwana tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app