Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana kupitia kipindi cha SHILAWADU cha Clouds TV, Hawa alihojiwa na kufunguka mazito sana, Hawa ambaye kwa sasa Afya yake imedhoofu kutokana na maisha ya Ulevi wa Gongo alifunguka siri ambayo hakuna mtu aliwahi kuijua “Mie Diamond Alikuwa Mpenzi wangu, na Tuliishi kama Mke na Mume kabisa hapo nyuma…ila Haikuwa Riziki yangu, japokuwa Inaniuma sana sasa hivi” Alifunguka Hawa Ambaye kiukweli alikuwa Anatia Huruma kutokana na Hali ya kiafya aliyokuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…