Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Like ni wajibu wetuKAMA KUNA MSHABIKI WA MAN UNITED AGONGE LIKE HAPA.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh naenda kutaja siri nzito iliyokufanya upunguze nguo zako na kuwa modo.
Nitasema nini ninachokufanya kuficha hicho kipara na kujifanya kijana.
Sasa zungumza tu
Hah hah hahMchina mbishi huyooooo
[emoji102][emoji23] [emoji23] [emoji23] upasuaji wa nini tena?
KibosileHakuna neno Boss
Haha haha taratibu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nipo huku nyuma yaani nacheka mbele za watu hadi aibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niwahi home
HahahahahahaRaha ya mechi goli. Usizikane mbio unazokimbiaga hapa kuwahi kufunga goli. Feeling pressure eeh?
Hshahaha hiyo team inampango wa kupanda daraja kwa ndondo cupWa vingunguti sports club
Good eveningGood evening my dears