myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tuko kwenye Dunia Ambayo Wale waliotukosea Wanapambana sana kuonekana Wao ndio Wamekosewa Na sio kupambana ili Wajirekebishe.
They may tarnish your name, but it is difficult to tarnish the blessings God has placed in You.
✔️✔️Tuko kwenye Dunia Ambayo Wale waliotukosea Wanapambana sana kuonekana Wao ndio Wamekosewa Na sio kupambana ili Wajirekebishe.
Money is like lingerie, It's important to have it, But people don't see it.
Wapo tuliowahaidi kesho, Ila hatukujua kama siku hiyo hiyo ndio Itakua ya mwisho Kuonana.
SawasawaWapo tuliowahaidi kesho, Ila hatukujua kama siku hiyo hiyo ndio Itakua ya mwisho Kuonana.
Pokea..Sawa.
Nipeni likes.
✅️✅️✅️Some of them we promised tomorrow, But we didn't know if that same day would be the last time we saw each other.
Pesa ni kama nguo ya ndani, Ni muhimu kuwa nayo, Ila watu wasiione.
👍👍Money is like lingerie, It's important to have it, But people don't see it.
SawaPesa ni kama nguo ya ndani, Ni muhimu kuwa nayo, Ila watu wasiione.
SawaPesa ni kama nguo ya ndani, Ni muhimu kuwa nayo, Ila watu wasiione.
Wapo tuliowahaidi kesho, Ila hatukujua kama siku hiyo hiyo ndio Itakua ya mwisho Kuonana.
👍👍👍Hukupewa maisha mazuri au mabaya, Ulipewa maisha, Ni jukumu lako kufanya maisha yako yawe Mazuri au Mabaya.
👍👍Usimuombe mtu msaada kwa kumkumbusha wema wako, Wema hauna Risiti.
Usimuombe mtu msaada kwa kumkumbusha wema wako, Wema hauna Risiti.
📌📌📌No one changes what people are Determined to live the way You live with them.
SahihiUsimuombe mtu msaada kwa kumkumbusha wema wako, Wema hauna Risiti.
UjumbeHakuna mtu anabadilika ni vile watu Wameamua kuishi vile Unavyo ishi nao.