Makosa haya 7 huua biashara ndogo:
1. Kuchanganya fedha za biashara na matumizi binafsi
2. Kutotunza kumbukumbu
3. Kuiga wengine bila kujua soko
4. Kutokujua wateja
5. Kutumia faida mapema
6. Kukosa subira
Ukiyakwepa haya, biashara yako ina nafasi ya kuendelea na kukua.