Kila kitu unachokiona leo kilianza na wazo la mtu mmoja,kamwe usidharau uwezo wako na mawazo yako,walioweza walidhubutu kuchukua hatua ya kutoa kilicho kichwani na kukifanya uhalisia.
Ukithubutu leo,kesho utakua unaongea kitu kingine.Iwe ufaulu au funzo.
Do it.