Kwa kila unayekutana nae kuna eneo yeye ni bora zaidi kuliko wewe , hivyo usiruhusu dharau ikawa kikwazo kwa wewe kujifunza mambo mapya kutoka kwa watu wapya

Ukifikiri anayeongea sana kwenye vikao na mazungumzo ndiye anayejua, utapishana na uzoefu mwingi uliofichika kwenye ukimya na utulivu.Usichanganye ufundi wa kuongea na maarifa. Usifanye kosa la kufikiri asiyetaka kuchangia sana kikaoni hana maarifa. Si mara zote maneno mengi hubeba maarifa. Utulivu ni vazi la maarifa. Maarifa huambatana na uwezo wa kusikiliza.

Pamoja na umuhimu wa kuzungukwa na watu wa karibu wanaotufanya tujisikie kusikika, kuonekana, kueleweka, kuthaminika, tunahitaji pia uwiano mzuri na hali fulani ya ukiwa, kuwa peke yetu mahali, kutokuwasiliana na dunia kupita kiasi.

Penye utulivu pana sauti tusizozisikia tunapokuwa tumezungukwa na watu. Kuna muda unajitambua zaidi unapoiwezesha sauti ndogo ndani yako kusikika vizuri—na huo ndio msingi wa utimamu wa afya ya akili.