myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.

👍👍👍Ishi maisha ambayo tegemeo lako na familia yako ni MUNGU na wewe peke yako. Amka ukiwa na mawazo ya kwamba wewe ni mstari wa mwisho wa ulinzi wa familia yako. Jenga akili iamini kuwa maisha yako na ya familia yako yatainuka kwa mapenzi ya MUNGU pamoja na mapambano na juhudi zako.
Maisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.
✔️✔️Kesho ni siku kila mmoja ajiombee na kutafakari hatma ya maisha yake na jamii nzima kwa ujumla ili kufurahia matunda ya nchi hii.
Kesho ni siku kila mmoja ajiombee na kutafakari hatma ya maisha yake na jamii nzima kwa ujumla ili kufurahia matunda ya nchi hii.

NakubalianaMaisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
Kuitafuta furaha ndio mtihani wetu katika maisha ya dunia, kuipata furaha ndio kilele cha mafanikio yetu duniani. Furaha ni fumbo la maish

Maisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
📌📌Kuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine
✅️✅️Kuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine
Sawasawa ✔️Kuna vitu tunavichukulia sana poa, Ila ni moja ya Baraka kubwa sana kuliko Pesa.
1. Kuwa hai
2. Kuwa Huru
3. kuwa na Afya Njema.
Ukiwa na hivi vyote pesa zinatafutwa na zinapatikana tu
Pia sawaasawaKuna vitu tunavichukulia sana poa, Ila ni moja ya Baraka kubwa sana kuliko Pesa.
1. Kuwa hai
2. Kuwa Huru
3. kuwa na Afya Njema.
Ukiwa na hivi vyote pesa zinatafutwa na zinapatikana tu
Kweli kabisa hiliKuna vitu tunavichukulia sana poa, Ila ni moja ya Baraka kubwa sana kuliko Pesa.
1. Kuwa hai
2. Kuwa Huru
3. kuwa na Afya Njema.
Ukiwa na hivi vyote pesa zinatafutwa na zinapatikana tu
Ujumbe wa maanaMalezi yako ya sasa kwa uzao wako ndo matunda ya maisha yao kwenye utu uzima wao hakikisha unawatengenezea msingi mzuri, dunia ya sasa sio salama
Jitunze. Hii ni miaka ya kujijenga, si ya kupendeza.
2. Epuka mashindano. Maisha sio mbio .
3. Soma vitabu, si vichwa vya watu.
4. Acha lawama. Anza kuwajibika.
5. Afya ni utajiri. Kula vyema, lala vyema.