myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa kabisa ✔️Jitunze. Hii ni miaka ya kujijenga, si ya kupendeza.
2. Epuka mashindano. Maisha sio mbio .
3. Soma vitabu, si vichwa vya watu.
4. Acha lawama. Anza kuwajibika.
5. Afya ni utajiri. Kula vyema, lala vyema.
Sawa kabisaMalezi yako ya sasa kwa uzao wako ndo matunda ya maisha yao kwenye utu uzima wao hakikisha unawatengenezea msingi mzuri, dunia ya sasa sio salama