myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kufanikiwa Kupo Ndani Ya Watu Na Jitahidi Kugusa Maisha Ya Watu"
Tafakari Vyema Juu Ya Maneno Hayo.
Shukuru kwa ulichonacho utaishia kuwa nacho zaidi Ila Ukizingatia Sana kile usichonacho hakitaweza kukutosheleza
Jifunze kutofautisha yupi anahitaji maelezo , Yupi anahitaji jibu fupi na Yupi anastahili ukimya kabisa.
Katika maisha kuna marafiki unawapoteza na kuna marafiki wanakupoteza wewe. Tafakari
Ukisituka umepoteza mwelekeo fanya hivi
1. Punguza spidi ya maisha
2. Tafakari amsisha yako 100%
3. Tafuta unayofanya kila siku na hayana faida.
4. Ondosha kila ujing unaofanya na haukusaidii.
5. Ua tabia zote mbaya kama kupiga puchu akili.
Ukisituka umepoteza mwelekeo fanya hivi
1. Punguza spidi ya maisha
2. Tafakari amsisha yako 100%
3. Tafuta unayofanya kila siku na hayana faida.
4. Ondosha kila ujing unaofanya na haukusaidii.
5. Ua tabia zote mbaya kama kupiga puchu akili.
Ukisituka umepoteza mwelekeo fanya hivi
1. Punguza spidi ya maisha
2. Tafakari amsisha yako 100%
3. Tafuta unayofanya kila siku na hayana faida.
4. Ondosha kila ujing unaofanya na haukusaidii.
5. Ua tabia zote mbaya kama kupiga puchu akili.
Ukisituka umepoteza mwelekeo fanya hivi
1. Punguza spidi ya maisha
2. Tafakari amsisha yako 100%
3. Tafuta unayofanya kila siku na hayana faida.
4. Ondosha kila ujing unaofanya na haukusaidii.
5. Ua tabia zote mbaya kama kupiga puchu akili.
Shukuru kwa ulichonacho utaishia kuwa nacho zaidi Ila Ukizingatia Sana kile usichonacho hakitaweza kukutosheleza
Usimchukie mtu aliyekudanganya, mshukuru kwa kukuonyesha kwamba si wa kuaminika.

Hakuna kitu kigumu kama kumpa mtu mvivu wazo zuri—atatafuta kila sababu ya kulikataa.