myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usimchukie mtu aliyekudanganya, mshukuru kwa kukuonyesha kwamba si wa kuaminika.
Mafanikio huleta maadui, maendeleo husababisha wivu. Kama hakuna anayekuchukia, basi hujafanikiwa maishani.
Unachoambiwa kwa hasira ndio ukweli usiosemwa hasira zikipoa. Hasira hazina unafiki.
Tabia ya mtu huonekana si kwenye maneno, bali kwenye maamuzi anapokasirika, anapokuwa na pesa, au anapokuwa juu kuliko wengine
Ukitaka kumjua mtu vizuri, tofautiana naye
Apumzike kwa amani
Si kila ushauri ni msaada โ wengine husema kwa kupunguza kasi yako, si kukuinua.Sikiliza, tafakari, lakini fuata roho yako
Si kila ushauri ni msaada โ wengine husema kwa kupunguza kasi yako, si kukuinua.Sikiliza, tafakari, lakini fuata roho yako
Tabia ya mtu huonekana si kwenye maneno, bali kwenye maamuzi anapokasirika, anapokuwa na pesa, au anapokuwa juu kuliko wengine
Utani, kwa kawaida, haudhalilishi utu wa mtu. Utani haumtii unyonge mwenzako. Ukichekeshwa na kinachomdhalilisha mtu huo sasa si utani ni kejeli โkiashiria cha mahangaiko ya unyonge yanayokusumbua na unayarushia kwa wenzako kumtia unyonge kupunguza maumivu.
Chunga usimcheke mtu kwa tatizo ambalo linaweza kukutokea hata wewe
Chunga usimcheke mtu kwa tatizo ambalo linaweza kukutokea hata wewe.
โ ๏ธโ ๏ธUtani, kwa kawaida, haudhalilishi utu wa mtu. Utani haumtii unyonge mwenzako. Ukichekeshwa na kinachomdhalilisha mtu huo sasa si utani ni kejeli โkiashiria cha mahangaiko ya unyonge yanayokusumbua na unayarushia kwa wenzako kumtia unyonge kupunguza maumivu.