myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππUsipende sana mazoea mazoea na mtu ambaye hamjashibana sana na hamna ukaribu kihivyo utaja jidhalilisha bure.
Utani, kwa kawaida, haudhalilishi utu wa mtu. Utani haumtii unyonge mwenzako. Ukichekeshwa na kinachomdhalilisha mtu huo sasa si utani ni kejeli βkiashiria cha mahangaiko ya unyonge yanayokusumbua na unayarushia kwa wenzako kumtia unyonge kupunguza maumivu.

Uhai wa mwanadamu ni kama bendera muda wowote upepo ukipuliza unapepea. Tuishi maisha yetu kwa wema na kujiandaa muda wowote
Chelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi
usiwe na roho mbaya mpaka ushindwe kumsamehe na usiwe na roho nzuri kiasi kumuamini mtu.
Uhai wa mwanadamu ni kama bendera muda wowote upepo ukipuliza unapepea. Tuishi maisha yetu kwa wema na kujiandaa muda wowote
SawaUsipambanie hela ya kula tu Pambania na ndoto zako
Maisha yamenifundisha kupunguza wema binadamu hawana kumbukumbu Matendo mazuri sio sifa tena, nikujitafutia maadui wa kudumu.
Kuna tofauti kubwa kati ya "kujua thamani yako" na "kudharau wengine." Jitambue, lakini usijitenge. Jiamini, lakini usije ukawa na kiburi kinachoficha upweke.