moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kimya Na Tabasamu Ni Vifaa Viwili Vyenye Nguvu.Tabasamu Ni Njia Ya Kutatua Shida Nyingi Na Kimya Ni Njia Ya Kuepuka Shida Nyingi.
Tambua Maendeleo Yako,Haijalishi Yanaonekana Madogo Kiasi Gani.Kila Hatua Mbele Inaimarisha Uvumilivu Wako Na Inakukumbusha Uwezo Wako Wa Kustahimili Na Kushinda Changamoto.

Ukijaribu Kutafuta Pesa Na Ukaona Ugumu Wake Huwezi Kumdharau Anayetafuta Kwa Jasho Lake Na Utagundua Kila Tone La Jasho Lake Linahitaji Zaidi Heshima Na Thamani.
Tambua Maendeleo Yako,Haijalishi Yanaonekana Madogo Kiasi Gani.Kila Hatua Mbele Inaimarisha Uvumilivu Wako Na Inakukumbusha Uwezo Wako Wa Kustahimili Na Kushinda Changamoto.
Simama Na MUNGU,Jikubali,Heshimu Watu,Fuatilia Mambo Yako,Fanya Kazi Kwa Bidii
Athari Kubwa Ya Kuwa Kwenye Utumwa Wa Fikra Kwa Muda Mrefu Ni Kuamini Kwamba Huwezi Kufanya Jambo Jingine Jipya Zaidi Ya Hilo Ulilozoea..

Unaweza kuzingatia kile kinachokutenganisha au kile kinachokuunganisha kama tu kinakutenganisha na shari na kinakuunganisha mafanikio!
Unapoinuka Inua Na Wenzako Kiroho Safi Ili Ukiteleza Wawepo Wa Kukushika,Maisha Ni Mtihani Na Dunia Ni Mzunguko,Leo Kwako Kesho Kwa Wenzako.
Unaweza kuzingatia kile kinachokutenganisha au kile kinachokuunganisha kama tu kinakutenganisha na shari na kinakuunganisha mafanikio!
Kupoteza Ni Rahisi Kuliko Kutafuta,Usisahau Kuheshimu Unachokipata
Ni Kweli Kuwa Kila Mtu Anao Uhuru Wa Kufanya Lolote Na Kusema Chochote Muda Na Sehemu Yoyote,Bali Kila Jambo Lina Mipaka Yake.Tambua Mipaka Yako.