myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mafanikio Ya Kudumu Ni Yale Yaliyobebwa Na Moyo Ulio Salama,Hakikisha Unalinda Moyo Wako Kwa Gharama Yeyote Ile.
Mafanikio Ya Kudumu Ni Yale Yaliyobebwa Na Moyo Ulio Salama,Hakikisha Unalinda Moyo Wako Kwa Gharama Yeyote Ile.
Sawa kabisaNi Kweli Kuwa Kila Mtu Anao Uhuru Wa Kufanya Lolote Na Kusema Chochote Muda Na Sehemu Yoyote,Bali Kila Jambo Lina Mipaka Yake.Tambua Mipaka Yako.
Muhimu ujumbe huuUsimpe Jina La RAFIKI Kila Mpita Njia Anayepita Katika Maisha Yako,Ili Usije Kusema *MARAFIKI WANABADILIKA." Kuna Tofauti Ya Marafiki Na Watu Tunaofahamiana Nao..
Usimpe Jina La RAFIKI Kila Mpita Njia Anayepita Katika Maisha Yako,Ili Usije Kusema *MARAFIKI WANABADILIKA." Kuna Tofauti Ya Marafiki Na Watu Tunaofahamiana Nao..
Ishi na watu vile wanavyoishi na wewe , acha kujitoa kwao kama hawakujali wala kuthaminiuwepo wapo , jipende na ujijali ,unastahili kila kizuri katika dunia hii,
Ukiwa unafanya Wema na unasubirii malipo hakika huko ni kujilazimisha uonekane
SawasawaDunia Ya Sasa Heshima Inakuja Kutokana Na Pesa Unazomiliki Sio Umri Wala Elimu Kiasi Gani Uliyonayo.
✔️✔️Dunia Ya Sasa Heshima Inakuja Kutokana Na Pesa Unazomiliki Sio Umri Wala Elimu Kiasi Gani Uliyonayo.
Watu wanatengeneza muda wao,kwa watu wanao wataka na kuwajali na kuwapenda tengeneza muda wako sehemu sahihi.
Dunia ya leo mambo yamebadilika mno,kupata mtu unayemuhitaji ni bahati na sio kabila wala dini,kwani kwenye kila kabila na dini kuna wenye tabia mbovu na njema.
Maono Hayawezi Kutimia Bila Wewe Kuwa Na Shauku Ya Kweli Ndani Yako,Ukubwa Wa Maono Lazima Uendane Na Ukubwa Wa Shauku Uliyobeba Ndani Yako Juu Ya Maono Yako,Maana Kila Mwenye Maono Lazima Ajue Namna Ya Kujizuia..
Maono Hayawezi Kutimia Bila Wewe Kuwa Na Shauku Ya Kweli Ndani Yako,Ukubwa Wa Maono Lazima Uendane Na Ukubwa Wa Shauku Uliyobeba Ndani Yako Juu Ya Maono Yako,Maana Kila Mwenye Maono Lazima Ajue Namna Ya Kujizuia..
📌Kusifia kila kitu na kukosoa kila kitu ni tatizo la akili ambalo watanzania wengi wanalo
Kusifia kila kitu na kukosoa kila kitu ni tatizo la akili ambalo watanzania wengi wanalo
Jifunze Kumtegemea Mungu Kwa Kila Jambo Tupo Kwenye Ulimwengu Unao Thamini Maiti Ya Mtu Kuliko Uhai Wa Mtu Mwenyewe..