Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo siasa zimejaa ukakasi.Humu panachosha siku hizi. Ni sehemu ya kumwaga magazeti tele kisha shaaa unaenda kuburudika na machozi ya akina mwashambwa
Ni kama siasa tu, unaweza penda chama furani kwa dhati ya moyo wako lakini wengine wakiona ni chama cha ovyo hata nawe wakuone wa ovyo.uzi unatembea kweli.. .. hakuna anayependa kibaya..
ni mtizamo tu kibaya kwako kizuri kwake..
NO REFORMS, NO ELECTION.Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.