Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Powa 🙏Hope wote mko poa kabisa
Tunaendelea kumlilia kijana wetu.Mkuu mambo Rip Jota
YeahHi guys
ShwariHabari za masiku tele
Mkuu mambo Rip Jota
AminaTunaendelea kumlilia kijana wetu.
Ametutoka akiwa bado kijana mdogo na akiwa kwenye peak yake.
Mungu ampe pumziko la amani
Mkuu habari za masiku