Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
One comment unaibuka na ten likesHa hahaha komenti chochote upate like.
Post sent using JamiiForums mobile app
Just likesLikes only
Hata nukta inatosha kwani ni post nayoHata nukta ni likes
You should be love and be lovedSo beloved
Tupo benetiTupendane. Tutaniane. Mtu akikwazika anasema. Tunasameheana na kusonga mbele. Uzi hauna miezi hata miwili tayari umegonga 150K. Wale wengine wana miaka karibu miwili bado wanachezea 240K. Mwishoni mwa mwezi huu tu tukiendelea hivi huu utakuwa ndiyo uzi maarufu zaidi hapa. Tayari tunayo rekodi ya likes nyingi zaidi - rekodi ambayo sidhani kama itakaa ivunjwe kwa sababu nayo mwishoni mwa mwezi huu si ajabu ikagonga 200,000 likes. Tujihongereshe na kupongezana. Upendo udumu kati yetu!
Yule cheupe dawaMkuu unamuongelea bibie yupi
ukiwa nazo nyingine tatu unakuwa na kiwanda
Nisicheke nichekwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Milele yoteKuwe na amani
Wahanga wa kizazi kipyaZana za wahenga hizi !!!