Unapopitia aina flani ya maisha ambayo hukuwahi kudhani kama utayapitia kubali kuwa jasiri kabiliana nayo utajikuta umefika sehemu ambayo hukuwahi kudhani kama unaweza kufika usiogope maisha kila unae mwona amefanikiwa alikubali kukabiliana na mambo KAZA