myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaKwenye Dunia Ya Leo Utulivu Ni Dhahabu,Si Kila Kitu Unatakiwa Kujibu,Wengine Wana Njaa Ya Vurugu Si Hoja
SawasawaHakikisha Baada Ya Wazazi Wako Awepo Mtu Ambaye Unamsikiliza Akikushauri Au Kukuonya Na Una Chukua Hatua.Kwani Kwenye Haya Maisha Ni Hatari Sana Unapokuwa Hushauriki.
NakubalianaUkiacha Ujuaji Tu Kila Mtu Ana Kitu Cha Kukufundisha Na Kukufanya Ukawa Bora Zaidi..
📌📌📌Ukiacha Ujuaji Tu Kila Mtu Ana Kitu Cha Kukufundisha Na Kukufanya Ukawa Bora Zaidi..
✅️✅️✅️Ukiacha Ujuaji Tu Kila Mtu Ana Kitu Cha Kukufundisha Na Kukufanya Ukawa Bora Zaidi..
👍👍👍Usikate Tamaa Kwa Sababu Ya Mwendo Mdogo.Mbele Ni Mbele,Hatua Ndogo Za Leo Hujenga Mafanikio Makubwa Ya Kesho.
Usikate Tamaa Kwa Sababu Ya Mwendo Mdogo.Mbele Ni Mbele,Hatua Ndogo Za Leo Hujenga Mafanikio Makubwa Ya Kesho.
Kwenye Dunia Ya Leo Utulivu Ni Dhahabu,Si Kila Kitu Unatakiwa Kujibu,Wengine Wana Njaa Ya Vurugu Si Hoja
SawasawaHakikisha Baada Ya Wazazi Wako Awepo Mtu Ambaye Unamsikiliza Akikushauri Au Kukuonya Na Una Chukua Hatua.Kwani Kwenye Haya Maisha Ni Hatari Sana Unapokuwa Hushauriki.
✅️✅️Shukuru Kwa Yale Yaliotokea,Ridhika Kwa Kile Ulichonacho Na Subiri Kwa Kile Ulichopangiwa..
Kuna Wakati Mungu Anaruhusu Tupitie Kwenye Magumu Ambayo Hata Yeye Hapendi Ila Inabidi Aruhusu Ili Tukivuka Tuwe Bora Kuliko Vile Tulivyokuwa Jana.
SawasawaKwa Kuwa Bado Unaishi Jifunze Sana Kutofanya Mzaha Kwa Hali Za Watu Wengine.Heshimu Hali Za Watu Maisha Ni Fumbo.
✔️✔️Kuna Wakati Mungu Anaruhusu Tupitie Kwenye Magumu Ambayo Hata Yeye Hapendi Ila Inabidi Aruhusu Ili Tukivuka Tuwe Bora Kuliko Vile Tulivyokuwa Jana.
SahihiWakati wa kujitafuta sio wote watakao kuunga mkono asilimia mia cha muhimu weka mkakati kwenye vipaumbele
👍👍Kuna Wakati Mungu Anaruhusu Tupitie Kwenye Magumu Ambayo Hata Yeye Hapendi Ila Inabidi Aruhusu Ili Tukivuka Tuwe Bora Kuliko Vile Tulivyokuwa Jana.
ShukraniShukuru Kwa Yale Yaliotokea,Ridhika Kwa Kile Ulichonacho Na Subiri Kwa Kile Ulichopangiwa..