myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usilie Matatizo Ni Mapito Tu,Kwani Wewe Ni Kama Dhahabu Haiwezi Kuwa Bora Hadi Ipite Kwenye Moto,Siku Yako Itafika Tu,Wewe Futa Machozi,Kisha Mwambie Mungu,Najua Hata Hili Litapita Tu..
Kama Unataka Kueleweka Na Watu,Hakikisha Kwanza Wewe Unajielewa Vizuri Kuliko Ambavyo Wao Wanakuelewa.Hii Itakufanya Usijipoteze Njiani.
SawaKama Unataka Kueleweka Na Watu,Hakikisha Kwanza Wewe Unajielewa Vizuri Kuliko Ambavyo Wao Wanakuelewa.Hii Itakufanya Usijipoteze Njiani.
SawaSio Kila Mtu Ataelewa Safari Yako Ya Maisha Na Sio Lazima Uwaaminishe Wakuone Upo Sawa,Ishi Maisha Kwa Namna Yako Yasiyoumiza Wengine
✅️✅️Usilie Matatizo Ni Mapito Tu,Kwani Wewe Ni Kama Dhahabu Haiwezi Kuwa Bora Hadi Ipite Kwenye Moto,Siku Yako Itafika Tu,Wewe Futa Machozi,Kisha Mwambie Mungu,Najua Hata Hili Litapita Tu..
Apumzike kwa amani
AiseeUsilie Matatizo Ni Mapito Tu,Kwani Wewe Ni Kama Dhahabu Haiwezi Kuwa Bora Hadi Ipite Kwenye Moto,Siku Yako Itafika Tu,Wewe Futa Machozi,Kisha Mwambie Mungu,Najua Hata Hili Litapita Tu..
NakubalianaSio Wote Kati Yetu Tunaweza Kufanya Makubwa Ila Tunaweza Kufanya Mambo Madogo Kwa Upendo Mkubwa.
KweliHeshima Ya Mtu Inapanda Au Inashuka Kulingana Na Kile Anacho Zungumza Na Ndio Maana Hekima Kubwa Kuliko Zote Ni Kukaa Kimya...!
SahihiMahusiano Hudumu Zaidi Kama Wawili Wapendanao Wataamua Kupendana Kila Siku Bila Kuongozwa Na Upendo Wa Vitu Vinavyoonekana.
MuhimuSio Wote Kati Yetu Tunaweza Kufanya Makubwa Ila Tunaweza Kufanya Mambo Madogo Kwa Upendo Mkubwa.
Ujumbe wa maanaAcha Kuamini Na Kukubali Kuwa Wewe Ni Mtu Wa Kushindwa Kwenye Kila Kitu,Ukiamua Na Kujikubali Hata Wewe Unaweza Kuwa Mshindi Siku Moja
SawaAcha Kuamini Na Kukubali Kuwa Wewe Ni Mtu Wa Kushindwa Kwenye Kila Kitu,Ukiamua Na Kujikubali Hata Wewe Unaweza Kuwa Mshindi Siku Moja
SawasawaMungu Siku Zote Atakutendea Sawa Sawa Na Ahadi Zake Si Vinginevyo,Na Kama Unataka Akutendee Jambo Basi Shikilia Ahadi Zake Na Uamini,Maana Mungu Si Kama Mwanadamu,Hatumii Hisia Kukujibu,Yeye Huliangalia Tu Neno Lake Apate Kulitimiza..
Hili nalo jamboAcha Kuamini Na Kukubali Kuwa Wewe Ni Mtu Wa Kushindwa Kwenye Kila Kitu,Ukiamua Na Kujikubali Hata Wewe Unaweza Kuwa Mshindi Siku Moja
✔️✔️Ukiacha Kutia Huruma Na Kuweka Zaidi Tumaini Lako Kwa Mungu Hakuna Maumivu Yatakaa Kwenye Maisha Yako.
👍👍Kama Kuna Mtu Unapaswa Kumuogopa Basi Ogopa Sana Rafiki Yako Na Sio Adui Yako...
SawaKuna Tofauti Kati Ya 'Kufanikiwa' Na 'Kuonekana Umefanikiwa'.Usikimbilie Kamera,Kimbilia Utulivu."