myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sahihi kabisaUkiacha Kutia Huruma Na Kuweka Zaidi Tumaini Lako Kwa Mungu Hakuna Maumivu Yatakaa Kwenye Maisha Yako.
Ndoto Haitimii Bila Jitihada,Lakini Katika Jitihada Lazima Mapenzi Ya Mungu Yatimizwe.Endeleza Jitihada Huku Ukisubiri Mapenzi Ya Mungu.
NajifunzaJifunze Kujua Kipi Kinahitaji Ukivumilie Na Kipi Kinahitaji Ukisahau.Tofauti Na Hapo Utajikuta Unapoteza Muda Wako Bure.
Jifunze Kujua Kipi Kinahitaji Ukivumilie Na Kipi Kinahitaji Ukisahau.Tofauti Na Hapo Utajikuta Unapoteza Muda Wako Bure.
Kila Mtu Mwenye Mafanikio Ana Hadithi ya Maumivu,Kila Hadithi ya Maumivu Ina Mwisho wa Mafanikio,Kubali Maumivu na Jiandae kwa Mafanikio.
Kila Mtu Mwenye Mafanikio Ana Hadithi ya Maumivu,Kila Hadithi ya Maumivu Ina Mwisho wa Mafanikio,Kubali Maumivu na Jiandae kwa Mafanikio.
Jifunze Kujua Kipi Kinahitaji Ukivumilie Na Kipi Kinahitaji Ukisahau.Tofauti Na Hapo Utajikuta Unapoteza Muda Wako Bure.
SAWASAWAKupitwa na starehe za muda mfupi ili kujenga uthabiti wa kudumu si hasara. Weka kipaumbele kwenye malengo ya muda mrefu badala ya starehe za muda mfupi.
UjumbeNdoto Haitimii Bila Jitihada,Lakini Katika Jitihada Lazima Mapenzi Ya Mungu Yatimizwe.Endeleza Jitihada Huku Ukisubiri Mapenzi Ya Mungu.
👍👍Mtu anapokupa muda wake basi ujue anakupa kipande cha maisha yake ambacho hawezi kukirudisha! Tujenge tabia ya kuheshimu muda wa mtu
Usilazimishe Ukaribu Na Watu,Kaa Kwenye Nafasi Wanayokuweka Ili Uweze Kufanya Mambo Yako Kwa Uhuru
Usilazimishe Ukaribu Na Watu,Kaa Kwenye Nafasi Wanayokuweka Ili Uweze Kufanya Mambo Yako Kwa Uhuru
Kila Mtu Atakuonyesha Unachomaanisha Kwao Kupitia Matendo Yao.Kwa Sababu Maneno Ni Bure,Lakini Matendo Yana Gharama.Yanakuja Na Uthabiti,Kujitolea Na Juhudi.Yanakuja Na Gharama Ambayo Si Kila Mtu Anaweza Kumudu
Nakubaliana na weweUsiigize Kuwa Mtu Mwema,Maana Kuwa Mwema Ni Gharama.Maana Moyo Mwema Ni Hazina Ya Thamani Isiyooza Wala Kuharibika.
Maisha Yanahitaji Watu Kuliko Fedha,Ni Mtu Aliyejisahau Tu Pekee Ndio Atasema Maisha Yanahitaji Fedha.
MUNGU NDIE KILA KITUKumcha Mungu Sio Jambo La Hisia,Bali Kumcha Mungu Ni Agizo Linalohitaji Utii,Upendo Na Moyo Wa Hiari.
Usitoe Mbinu Zote Za Utafutaji Kwa Mtu,Binadamu Hawapendi Kuwa Wa Pili Sehemu Yoyote.
✔️✔️Kumcha Mungu Sio Jambo La Hisia,Bali Kumcha Mungu Ni Agizo Linalohitaji Utii,Upendo Na Moyo Wa Hiari.
Pesa Ni Kama Nguo Ya Ndani,Ni Muhimu Kuwa Nayo,Ila Watu Wasiione.
SawaKuwa Mpole,Lakini Usiwe Mpumbavu.Samehe,Lakini Usirudie Makosa Yaleyale.Penda,Lakini Usisahau Kujipenda Pia.