myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuwa Mpole,Lakini Usiwe Mpumbavu.Samehe,Lakini Usirudie Makosa Yaleyale.Penda,Lakini Usisahau Kujipenda Pia.
Kuwa Mpole,Lakini Usiwe Mpumbavu.Samehe,Lakini Usirudie Makosa Yaleyale.Penda,Lakini Usisahau Kujipenda Pia.
Mungu Akikuinua Inuka Na Wengine,Usijali Watakulipa Wema Au Ubaya.Wewe Atakufanya Uwe Wewe Tu Kwa Baraka Kubwa...
SawasawaMungu Akikuinua Inuka Na Wengine,Usijali Watakulipa Wema Au Ubaya.Wewe Atakufanya Uwe Wewe Tu Kwa Baraka Kubwa...
Mungu wetuπ€²π€²π€²Muombe Sana Mungu Akupe Kuona Mwanga Ndani Giza Lako.Maana Kukaa Kwako Gizani Kwa Muda Mrefu Ni Furaha Ya Shetani."
SAWASAWAMuombe Sana Mungu Akupe Kuona Mwanga Ndani Giza Lako.Maana Kukaa Kwako Gizani Kwa Muda Mrefu Ni Furaha Ya Shetani."
UJUMBE MUHIMUAfya ya Akili
Kukaa kimya na kutafakari kunasaidia kupunguza msongo wa mawazo. Tunapokuwa kimya, tunapata nafasi ya kupumzika akili zetu na kuachilia mawazo yenye kuleta wasiwasi. Tafakari inaweza kutusaidia kuleta utulivu wa akili, kuongeza umakini na ubunifu. Utafiti umeonyesha kuwa kutafakari kunaweza kupunguza dalili za unyogovu na wasiwasi, na kuboresha hali ya jumla ya afya ya akili.
Ijapokuwa inahitaji juhudi, ni jambo la muhimu sana kwenye maisha yako. Itakusaidia kuishi na watu, kutenda yaliyo sahihi, kuwaza yaliyo sahihi na kuwa na hekima katika maisha yako. Mtu anayejitambua na kufahamu kwa kina nini maana ya maisha kwake, tayari anakuwa amepiga hatua kubwa.
Katika kutambua mzizi wa matatizo yetu, tabia zetu, maisha yetu na ukweli wa maisha, kujitambua ni jambo moja la msingi sana
Ni muhimu kuchukua muda, hata kama ni dakika chache tu kila siku, kukaa kimya na kutafakari. Manufaa yake ni makubwa na yatatusaidia kuishi maisha yenye utulivu, furaha, na ufanisi zaidi.
Kuboresha Mahusiano
Tunapokaa kimya na kutafakari, tunapata fursa ya kujitafakari kuhusu jinsi tunavyowasiliana na wengine. Tunakuwa na nafasi ya kutathmini matendo yetu na kujifunza jinsi ya kuboresha mahusiano yetu. Kutafakari kunatusaidia kuwa na subira na kuelewa zaidi hisia na mitazamo ya wengine, jambo ambalo linaweza kuimarisha mahusiano yetu na kufanya tuwe na maelewano mazuri na watu tunaowapend
Kukuza Ufanisi
Katika hali ya utulivu na tafakari, tunaweza kupanga na kuweka malengo yetu vizuri zaidi. Kutafakari kunatuwezesha kuzingatia mambo muhimu na kuacha yale yasiyo na manufaa. Kwa njia hii, tunakuwa na ufanisi zaidi katika shughuli zetu za kila siku na kufikia malengo yetu kwa urahisi.
Mtakatifu Augustino aliwahi kusema, imani ni kuamini kile ambacho hujawahi kukiona kwa macho, na zawadi ya hii imani ni kuona kile ambacho unaamini.
SawaHata jioni pia unatakiwa kujiuliza maswali kama vile umejifunza nini leo?
Nimetoa nini leo na nimekuwa mpokeaji au mtoaji?
Hivyo basi, maswali ni muhimu katika maisha yetu.
ππHata jioni pia unatakiwa kujiuliza maswali kama vile umejifunza nini leo?
Nimetoa nini leo na nimekuwa mpokeaji au mtoaji?
Hivyo basi, maswali ni muhimu katika maisha yetu.
βοΈβοΈNini kinakufanta uwe na shukurani?
Kuna maswali ambayo utajiuliza asubuhi na kuifanya akili iwe bora sana.
ππHata jioni pia unatakiwa kujiuliza maswali kama vile umejifunza nini leo?
Nimetoa nini leo na nimekuwa mpokeaji au mtoaji?
Hivyo basi, maswali ni muhimu katika maisha yetu.
ππUnajisikiaje ukiwaona baadhi ya wenzako wameweza kufanikiwa na wewe bado huamini juu ya hili?
Jifunze kwa wenzako wakati sahihi ni sasa.
Unajisikiaje ukiwaona baadhi ya wenzako wameweza kufanikiwa na wewe bado huamini juu ya hili?
Jifunze kwa wenzako wakati sahihi ni sasa.