myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaSafari ya maisha kuna mengi utakumbana nayo kama furaha, mafanikio, kufeli, kufaulu, upendo na hata maumivu na changamoto zenye kuumiza.
Kikubwa ni kuwa mvumilivu na kupambana bila kukata Tamaa.
SAWASAWAUsiache kua MTU mwema wala usizitamani njia zao watu wasio haki
SawasawaSafari ya maisha kuna mengi utakumbana nayo kama furaha, mafanikio, kufeli, kufaulu, upendo na hata maumivu na changamoto zenye kuumiza.
Kikubwa ni kuwa mvumilivu na kupambana bila kukata Tamaa.
SawasawaUsipokuwa makini na mambo ya mtandaoni utadanganyika sana na utasambaza uongo sana.
📌📌📌Ukifuatilia ugomvi wa watu hadi kuwa maadui utagundua kuwa wengi wao walishawahi kuwa marafiki sana hii inadhihirisha kuwa rafiki aweza geuka adui muda wowote, ukiwa na rafiki jifunze kuweka mipaka kwenye baadhi ya mambo.
SawasawaUsipokuwa makini na mambo ya mtandaoni utadanganyika sana na utasambaza uongo sana.
Aisee...Ukifuatilia ugomvi wa watu hadi kuwa maadui utagundua kuwa wengi wao walishawahi kuwa marafiki sana hii inadhihirisha kuwa rafiki aweza geuka adui muda wowote, ukiwa na rafiki jifunze kuweka mipaka kwenye baadhi ya mambo.
SawasawaUkifuatilia ugomvi wa watu hadi kuwa maadui utagundua kuwa wengi wao walishawahi kuwa marafiki sana hii inadhihirisha kuwa rafiki aweza geuka adui muda wowote, ukiwa na rafiki jifunze kuweka mipaka kwenye baadhi ya mambo.